Bukobawadau

Ajili mbaya Watu Kadhaa wapoteza maisha

Ajali mbaya imetokea eneo la Bugorora Kyaka asubuhi ya leo majira saa tatu kasoro,inahusisha Bus la Sabuni Express lililokuwa likitokea Karagwe na Land Cruiser ya kanisa taarifa za hawali zinasema watu si chini ya watano wamepoteza maisha
Next Post Previous Post
Bukobawadau