DIAMOND ATWAA TUZO #MTVMAMA2015
Tuzo za MTV MAMA 2015 zinazoendelea Usiku huu huko Durban South Africa,tayari Msanii Diamond amenyakua tuzo moja ya#BESTLIVE,nao PSquare tayari wameshinda tuzo moja ya #BEST GROUP na PersonalityOfTheYear ni tuzo imechukuliwa na Trevornoah wa South Africa.
OC Ukeje and Terry Pheto #MTVMAMA2015:Red Carpet
South African Biggest rapper, AKA
2Face Idibia #MTVMAMA2015:Red Carpet
Picha mbalimbali,wasanii wakiwa katika Red carpet
#MTVMAMA2015 Mchakato unaendelea,Endelea kuwa nasi