DODOMA LEO JUMAMOSI JULY 11,2015
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na
waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa
Halmashauri Kuu ya CCM, ambapo amesema kuwa sasa NEC inapiga kura kupata
majina matatu yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu unaotarajiwa
kufanyika Usiku wa leo majira ya saa tatu, kwenye Ukumbi wa Dodoma
Convetion Centre.Credit:@michuzi Jr
UPDATES:Ndg. Nape Nnauye amtangaza rasmi Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM 2015, Mhe. Ali Mohamed Shein.
Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni…1.Joohn Magufuli,Amina S. Ali,Asha-Rose Migiro.
"Sigombei nafasi hii kupambana na mtu bali kupambana na matatizo ya watu".@JMakamba #UmojaNiUshindi #TanzaniaMpya
KWA MTIRIRIKO HUU 'KURA YA 3' BORA NINI MTAZAMO WAKO
Magufuli 290, Amina 284, AshaRose 280, January 124, Membe 120
UPDATES:Ndg. Nape Nnauye amtangaza rasmi Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM 2015, Mhe. Ali Mohamed Shein.
Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni…1.Joohn Magufuli,Amina S. Ali,Asha-Rose Migiro.
"Sigombei nafasi hii kupambana na mtu bali kupambana na matatizo ya watu".
KWA MTIRIRIKO HUU 'KURA YA 3' BORA NINI MTAZAMO WAKO
Magufuli 290, Amina 284, AshaRose 280, January 124, Membe 120