Bukobawadau

DOKTA SLAA AKIPEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR NA PWANI NA WAZEE WA PWANI

Matukio ya picha wakati Wazee wa Kimila wakimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Uchifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani
Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi.
 Mzee Mwinyijuma Said Muhigira akimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Saa usinga, mundu na shoka ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uchifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, ambapo Wazee wa Pwani walimtunuku Dkt. Slaa jina la Chifu Mwinyikambi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau