HABARI PICHA LEO JULY 4,2015
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akionyesha kitabu ya Rasimu ya Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu
wa mwaka 2015, wakati wa Kikao cha Kamati Kuu cha kuijadili na
kuipitisha Ilani hiyo kinachofanyika, leo Julai 4, 2015 kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa CCM Makao Makuu, Mjini Dodoma.