VIDEO MKUTANO WA DR.SLAA WILAYANI MULEBA MAY 25
Sehemu ya Video mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa katika ziara ya kukagua zoezi la uandikishaji wapiga kura linavyokwenda na kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu; ambapo pia anakagua maandalizi ya chama kwenda kushinda uchaguzi kwa kushirikiana na vyama washirika wa UKAWA.
Hii ni May 25 Viwanja vya Red Cross Muleba sambamba na Mtia nia jimbo la Muleba Katibu wa Baraza la Wazee (Chadema)Bwana Rodrick Lutembeka