'LWAKIS' MUGANYIZI LWAKATARE AONGOZA KURA ZA MAONI UBUNGE CHADEMA BUKOBA
Wilfred Muganyizi Rwakatare akiongozana na wafuasi wake mara baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni Ubunge Chadema Jimbo la Bukoba mjini katika uchaguzi uliofanyika jioni ya leo . 22
Matokeo ya kura za maoni ni kama ifuatavyo;Jumla ya kura zilizopigwa ni 178,jumla ya Wagombea ni 7;Matokeo:Lwakatare kura 87,Kipara Masoud 53,Meza kura 18,Pereus kura 2,Wakili Matias Rweyemamu 2,Mwl.Aidan Mganyizi 7,Basheka Jovitus Josephat kura 5
Wanachama na wafuasi wa Chadema katika hisia tofauti kufuatia mchakato huu.
Muonekano Ukumbini baada ya matikeo kutangazwa
Kushoto ni Mr. Valerian Mgombea Ubunge Chadema jimbo la Nkenge
#SiasazaBukoba