Bukobawadau

MKUU WA MKOA WA KAGERA AFUTARISHA

 Wananchi na Waislamu wa Mjini Bukoba wameshiriki katika futari iliyo andaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella nyumbani kwake leo July 15,2015.
Akitoa shukrani kwa waalikwa Mkuu wa mkoa Mh John Mongella amepongeza uamuzi wa kampuni ya VIP engineering and marketing ltd wa kuanzisha mradi wa kujenga hospitali ya kimataifa ya saratani mkoani kagera.
Timu ya VIP ya watu takriban 20 iliyoongozwa na Fr. James Rugemalira ilishiriki futari hiyo iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa ambaye alitoa mwaliko kwa timu ya VIP kushiriki pamoja na wadau wengine katika futari hiyo
 Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa neno la Shukurani baada ya futari.
 Mh. John Mongella akiwashukuru viongozi wa madhehebu mbalimbali na wananchi waliohudhuria futari ya pamoja, nyumbani kwake leo July 15,2015
 Kushoto ni Haji Abubakar Sued pichani kushoto na Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala
 Mzee Masabala  ni kati ya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa John Mongella
 Baadhi ya Wananchi walioshiriki katika futari hiyo.
Sehemu ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa
Sehemu ya waliohudhuria
 Haji Sadick Galiatano pichani
 Baadhi ya Wananchi Mjini Bukoba waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh John Mongella nyumbani kwake leo July 15,2015.
Pichani kushoto ni Mchungaji Bililiza
 Sehemu ya waalikwa katika futari iliyo andaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella
 Mdau Kelvin na Lutta wa VIP engineering and marketing ltd
 Mzee Huledy na Mzee Kangezi wakiendelea kupata futari.
Kutoka kushoto ni Fr. James Rugemalira Mshauri wa kimataifa wa kujitegemea,Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta na Haji Hashem Kamugunda
 Haji Nurak na Ndugu Mohamed ni sehemu ya waalikwa
 Pichani kushoto ni Haji Murshidi Ibrahimu
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera  Mh John Mongella katika picha ya pamoja na Mshauri wa kimataifa wa kujitegemea (International Independent Consultant) Fr. James Rugemalira, wa VIP Engineering and Marketing Limited katikati,Balozi Diodorus Buberwa Kamala mwenye shati la kijani pamoja na washauri kampuni ya VIP
Katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Mh John Mongella,Fr James Fr. James Rugemalira,Balozi Kamala ,Mtaalamu wa masuala ya kiusalama wa Kampuni ya VIP,Mr Kamala na Ndugu Lutta
 Wadau wa VIP wakibadilishana mawazo na familia ya Mkuu wa Mkoa,Mh John Mongella
Washauri wa VIP na  Mkurugenzi wa Kampuni VIP Engineering and Marketing Limited Benedicta Rugemalira (katikati) akifuatiwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh John Mongella,wa mwisho kulia ni Mke wa Mkuu wa Mkoa
Ndugu Taimur Karama pichani mara baada ya kupata futari
 Kijana Kamar Gulam na Uncle Salum Organizer.
 Mzee wetu Haji Abbakari Galiatano katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Mh John Mongella
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh John Mongella,Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) na Mtaalamu wa masuala ya kiusalama wa Kampuni ya VIP,Mr Kamala wakibadilishana mawazo 
 Sehemu ya kinamama mara baada ya kushiriki futari nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa leo July 15,2015



Next Post Previous Post
Bukobawadau