NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU
Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya wakati wa
kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga
, wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na
Benki ya Dunia kupitia UNICEF
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli (wa kwanza kushoto) akiwaangalia baadhi ya mbuzi wa vikundi vya kata ya Masanga waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Kulia kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi hiyo, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya.
Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli (wa kwanza kushoto) akimsikiliza mwanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga wakati akieleza manufaa ya ufugaji wa mbuzi waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Kulia kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi hiyo, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya.