Rais Kikwete atunukiwa shahada ya uzamivu chuo kikuu Newcastle nchini Australia
Rasi Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa shahada ya uzamivu ya heshima ya
sheria katika chuo kikuu cha Newcastle nchini Australia, leo tarehe
29/7/2015. Unaweza kusoma zaidi katika gazeti la the herald
http://www.theherald.com.au/ story/3243746/warm-welcome- for-tanzanian-president-in- newcastle/?cs=305
katika picha ni wanafunzi wanaosoma shahada ya uzamivu katika chuo kikuu cha Newcastle. Kutoka kulia ni Japhace Balwegilila (mhadhili Chuo Kikuu cha Mkwawa), Elpidius Baganda (Afisa Elimu Manispaa ya Bukoba); na Kushoto kabisa ni bwana Joshua Mhalia (mhadhili chuo kikuu huria Tanzania) na Editha Baganda [Mwalimu Bukoba secondari] (kulia kwa mama kikwete). Watoto kutoka kulia ni Irene Baganda (pink) , Dorothy Baganda (gauni lenye maua) na Nancy Baganda (sweta Nyeusi).
http://www.theherald.com.au/