Bukobawadau

RIDHIWANI KIKWETE ANAWAOMBA RADHI KWA WATU WANAOFANYA UPOTOSHAJI!

Ridhiwani Kikwete
Binafsi nieleze masikitiko yangu makubwa kwa wale ambao wanatamani kuona kijana mwenzao naharibikiwa kwa kunigombanishwa na jamii yangu.

Si jambo jema na ninaomba sana tuache ujinga huu mara moja.
Naomba radhi kwa wale wote waliokwazika na ujinga huu.
Assalam aleykum
Next Post Previous Post
Bukobawadau