SIKILIZA HOTUBA YA LOWASSA KUJIUNGA UKAWA
SIKILIZA HOTUBA YA MH. LOWASSA HAPA CHINI
MATUKIO YA PICHAYALIYOJIRI MKUTANO WA CHADEMA/UKAWA KUJIUNGA KWA LOWASSA.
Lowassa akiingia kwenye ukumbi wa Mkutano
Mh. Lowassa na mke wake mara baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA leo katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema
Taswira mbalimbali katika picha
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee akifakari kulia kwake ni Mzee Kimesera leo katika waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam,
Mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho Lowassa leo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli jijini Dar es Salaam jioni ya leo mara baada ya kutangaza rasmi azma yake ya kujiunga na CHADEMA na UKAWA. Sehemu ya Video hapo juu Mh.Lowassa akikaabidhiwa kadi ya chadema