TAARIFA YA KIFO CHA FRED MBONEKO
DK.
VENANT MBONEKO wa Upanga ,Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha Mdogo
wake FRED MBONEKO kilichotokea hospitali ya Kairuki Dar es salaam usiku wa
kuamkia jana
Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 24 July 2015,Nyumbani Kijijini Kigalama Kanyigo - Bukoba .
Habari ziwafikie Omulangira Daudi Mboneko,Omwana Maria Mboneko,Omulangira Alkard Kataruga ,Omwana Foroda Rutinwa ,ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia
"Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe."