Bukobawadau

VIUNGA VYA MJI WA BUKOBA IJUMAA JULY 3,2015

CEO mwenyewe wa Bukobawadau Media pichani katikati nikiwa na ndugu zangu wa familia,kutoka kushoto ni Bw.Abdulazak Byabusha, Ibrahim Bukenya na Ustaadh Isack Abdallah Bukenya( kulia),kwa pamoja kupitia Bukobawadau wanapenda kuwatakia Waislamu wote popote walipo mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na Ijumaa njema kwa wasomaji wote.
 Hekaheka za hapa na pale kwa wakazi wa Mji wa Bukoba zikiendelea.
 Mahali hapa ni (tupendane Street) katikati ya Mji wa Bukoba

Kama kawaida ndani ya Mji wa Bukoba,mabadiriko ni mdogo mdogo. 
 Wenyeji wa Mitaa ya Nyamkazi Bukoba katika utayali wa kutega Senene kama inavyo onekana pichani ni Mapipa na Mabati yanayotumika kwa kuwekewa taa zenye mwanga mkali ikiwa ni hatua ya mawindo ya senene.
 Mjengo wa fulani uliopo Mitaa ya Nyamkazi
 Barabara ya Nyamkazi jirani na Uwanja wa Ndege,maeneo maarufu kwa  upatikanaji wa kitoweo jamii ya panzi kijulikanacho kama 'Senene'
 Tunakushukuru sana wewe msomaji kwa kuendelea kufurahi mtandao wetu kwa siku ya leo

 Taswira mbalimbali maeneo kati ya Mafumbo na Nyamkazi ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba
Makao ya Cosad Nyamkazi kwa hisani kubwa ya Mh. Balozi Kagasheki
 Kijana Kelvin Mtensa na mwenzake mbele ya Camera yetu

 Moja ya nyumba kali yenye kupendeza iliyopo mitaa ya Nyamkazi Mjini Bukoba
Ukanda wa beach ,Camera yetu mchangani Kiroyera
Vijana wakifurahia jioni ya Siku fukweni Kiroyera.
Pande za Kiroyera maboresha ya mazingira na huduma yakifanyika
MUHIMU BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Kwa mbalimbali biashara ya Senene ikiendelea...

BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu ,pia kwa taarifa au shughuli yotote kama kurusha habari  na Covarage ya matukio kwa ajili ya kumbukumbu na ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043, 0715 505043 ,0768 397241,0673 505045
Email:bukobawadau@gmail.com
Insta:@bukobawadau
 


Next Post Previous Post
Bukobawadau