FREE DOWNLOAD DAT FT YUNAR - KANULINULI (NEW AUDIO)
Fanya kusilikiza na kudownload nyimbo 'Kanulinuli' kutoka kwa Msanii home boy wa miondoko ya
Taula style DAT ambaye siku chache zilizopita
alitambulisha wimbo wake wa Ekigambo.
DAT WA TAULA TAMADUNI AMELETA “KANULINULI”
DAT WA TAULA TAMADUNI AMELETA “KANULINULI”
Wimbo huo umerekodiwa katika Studio za Burn Records jijini Dar es
Salaam chini ya Producer Sheddy Clever
ambaye ni mtayarishaji pekee wa muziki nchini Tanzania anayewania tuzo za
Afrima mwaka huu kipengele cha Producer bora wa mwaka. Katika wimbo huo DAT
amemshirikisha mwanadada YUNAR. Wimbo huo uko hapa, pamoja na Mashairi yake.