HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA
Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu Mwanalibeneke Mc Baraka,Namshukru sana mwenyezi mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa
nilipo,namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale,hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo
.
Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na member wa TBN na wote waliweza kuwa nami katika safari yangu ya maisha mpaka hii leo
Inshaalah namuomba Mwenyezi mungu (Omkama Katonda) aniongezee uhai na uzima
HAPPY BIRTHDAY TO ME!