KUTOKA VIWANJA VYA JANGWANI UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM KITAIFA 2015
Matukio ya picha kutoka Viwanja vya Jangwani Jijini Dar,Ufunguzi wa Kampeni za CCM kitaifa 2015
Magufuli: Natambua kiu yenu ya kutaka mabadiliko, nawahakikishia kuwa shida na matarajio yenu navijua
Magufuli: Wakati wangu mgambo watatafuta kazi nyingine za kufanya sio kusumbua watu
Kikwete: Hatupendi rais masikini, lakini tunapenda rais ambaye mali zake alivyopata tuna hakika nazo."CCM tulipomchagua Mhe. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wetu hatukubahatisha" - Mhe. Jakaya M. Kikwete.
Mkapa: Kuna vyama vingine vinadai eti vinataka kuwakomboa Watanzania, ‘Wapumbavu’, nchi hii ilishakombolewa na ASP na TANU
Wanachama wa CCM wakionyesha umoja kwenye uwanja wa Jangwani katika Mkutano wa kuzindua kampeni.
SEHEMU YA VIDEO https://www.wetransfer.com/downloads/cbb8c3c83b9be590eed1ec9695ced09220150823144123/a74b686d702cd14b28a0fbf08c07fc8b20150823144123/2c7ea1