Bukobawadau

LWAKATARE AZINDUA RASMI KAMPANI UBUNGE JIMBO LA BUKOBA MJINI LEO AUG 26,2015

Ndugu Wilfred Lwakatare ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chadema na UKAWA akiwahutumia maelfu ya wananchi walihudhuria mkutano wa Uzinduzi wa Kampani uliofanyika leo Aug 26, katika Uwanja wa Uhuru Mjini Bukoba.
 Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uzinduzi huo
 Wafuasi wa Chadema wakiitikia Salaam ya Chadema ya People's Powerwakiwa katika Mkutano ya hadhara wa Ufunguzi wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa chama hicho Ndugu Ndugu Wilfred Lwakatare
Mgombea wa Udiwani Kata ya Nshambya  Ndugu Jimmy  Karugende akitoa salaam kwa wananchi waliohudhuria mkutano huo uliofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru  Mjini Bukoba
 Ndugu Chief Kalumuna,Mgombea Udiwani Kata Kahororo kupitia Chadema .
 Mgombea wa Viti Maalum kupitia Chadema akiongea katika Mkutano huo
 Mzee Baganda Mgombea Udiwani kata Miembeni kwa tiketi ya Chadema akiongea katika Mkutano huo
 Ndugu Justuce Mgombea Udiwani Kata Rwamishenye.
 Taswira umati ukiendelea kufuatilia Mkutano Ndugu Wilfred Lwakatare ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chadema na UKAWA
 Umati wa Watu waliohudhuria Uzinduzi huo uliofanyika katika Uwanja wa Uhuru Aug 26,2015
 Mr. Jimmy Mkombea wa Udiwani Kata ya Bakoba kwa tiketi ya Chadema
 Mrs Rwakatare picha akifuatili kinachojiri
Mgombea wa Kata ya Kitendaguro kupitia Ukawa Ndugu Eliud.
Wafuasi wa Chadema rwakiwa katika Mkutano ya hadhara wa Ufunguzi wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa chama hicho Ndugu Ndugu Wilfred Lwakatare
 Katika Video hapa chini  ni Ndugu  Nuru Kabaju Mgombea Udiwani aliyewekewa pingamizi Kata Kashai akitoa Salaam  katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni UKAWA-Uwanja wa Uhuru Leo SEHEMU YA PILI YA VIDEO INAFUATA HIVI PUNDE...
Next Post Previous Post
Bukobawadau