Bukobawadau

MATOKEO YA KURA ZA MAONI CCM BUKOBA YETU

Tunaendelea kupokea matokeo ya kura za maoni ambazo zimekuwa zikiendelea hii leo
Kutoka jimbo la Jimbo la Bukoba Vijijini
Jason Rweikizaa naongoza kwa % kubwa dhidi ya Nazir Karamagi ,Kwa ufupi Ndugu Jason Rweikiza keshafanikiwa kutetea kiti chake.

 EXCLUSIVE matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM Bukoba Mjini Balozi Kagasheki aibuka kidedea. ‪#‎SiasazaBukoba‬ Matokeo ya Jumla Ubunge Bukoba Mjini
1.(SWAIBA) BALOZI (SWAIBA) KAGASHEKI KURA 6971
2.AMANI ANATORY KURA 944
3.GEORGE RUBAIYUKA KURA 113
4.KAIJAGE KURA 71
5.KATARAIYA 53
6.KATABAZI KURA 34
7.RWEZAURA KURA 7
8.LUKOMOKA KURA 3

 #‎Siasazabukoba‬
Matokeo ya Jumla Jimbo la Nkenge mkali ni Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya, Dr. Diodorus Buberwa Kamala.
 Balozo Kamala pichani katika moja ya harakati zake.Diodorous Kamala,Matokeo ni kama ifuatavyo;DR DIODORUS KAMALA 8229,
FROLENT KYOMBO 5429,
Bukobawadau
ASUMPTA MSHAMA 5273,
JULIUS RUGEMALIRA 5201,
DR MAZIMA JOHACKIM 2329
DR NYAGWA 671.
  #‎Siasazabukoba‬
Muleba Kusini matokeo ya kura za jumla Mama Tibaijuka ameibuka Kidedea kwa % kubwa
Muleba Kaskazini ni Mh. Mwijage kwa mara ya tena. 
 #‎siasazabukoba‬
Jimbo la Karagwe,Waliopiga kura 26464:
Zilizoharibika 37:
Halali 26093
MATOKEO》KAMUHANGILE MJUNGU 508
MWL.DAGOBERT DEOGRATIAS 792
AMON CHAKUSHEMEILE 1072
ADARA RUJWAHUKA 1522
AUDAX RUKONGE 2209
INOCENT BASHUNGWA 19990:mshindi ni inocent bashungwa kwa asilimia 77

 #SIASAZABUKOBA VIA BUKOBAWADAU MEDIA
Next Post Previous Post