Bukobawadau

MAULID YA NDOA YA BI JADIDA BYABUSHA NA BW FAISARY BASHIR YAFANA

Mashallah,ndivyo anavyo onekana Bi harusi wetu pichani Bi Jadida Byabusha akiwa kapendeza sana sana tena sana jamani
 Ustaadh Ibrahim Byabusha (kushoto)ambaye ni Baba mdogo wa Bi Jadida katika picha na Mama Abdul (kulia)mama mzazi wa Bi harusi wetu
Bi Jadida Byabusha (katika) akiwa na Baba zake wadogo, kushoto ni Abdulshakur Byabusha na kulia ni Abdulrazak Byabusha ikiwa ni muda muchache kabla ya tukio la ndoa. 
 Mama mzazi wa Bi harusi akiwapungia watu mkono wakati wakuingia ukumbini
Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta (kushoto)


 Baadhi ya waalikwa wakifuatilia shughuli nzima inavyo endelea
Sheikh Ismail (kulia)akisimamia tukio la ndoa.
 Kushoto ni Ustaadh Abdulrazak Byabusha Shahidi wa Bibi harusi akiweka sahihi
Wazazi wa Bi harusi wakikabidhi zawadi.


 Ustaadh Ibrahim Byabusha akiongoza na Mzee Abdallah Byabusha katika utambulisho na zawadi kwa Bi Zubeda (kushoto) ambaye ni mke wa kijana wao Mikidad Byabusha (hayupo pichani).
 Baba Mzazi wa Bibi harusi akimkabidhi mwanae Cheti cha ndoa na kufuatia Zawadi ya Quran
 Muongozaji wa Shughuli hii Uncle Salum( Olganizer) mwenye uwezo mkubwa wa kuongoza kama MC kulingana na matakwa ya wenye shughuli kwa kuzingatia umuhimu .
 Sheikh akiendelea kutoa nasaha kuhuu ndoa iliyotakasika na wajibu wa kuishi Mume na Mkewe..
 Dr.




 Sasa ni furaha kwa wanafamila kwa pamoja.
 Kikundi mahiri cha 'Kamunana Dufu' kikiendelea kushusha burudani yenye toni na muungurumo wa aina yake.
 Kwa umuhimu Bukobawadau Media tutakupa fulsa pekee upate kuona na kusikiliza kupitiaVideo  iliyopo chini kabisa mwisho wa ukuraasa huu.



 Wanaonekane sehemu ya waalikwa katika shughuli ya ndoa hii ya Bi Jadida Byabusha na Bwana Faisary Bashir.
 Wanandugu wa familia ya Byabusha katika picha pamoja na Mama yao (katikati)
 Dr. Abas Byabusha akifurahi na kumpongeza shemeji yake ,Mama mzazi wa Bibi Harusi


 Mama akifuatilia jambo kwa umakini.
 Familia ya Byabusha kati picha ya pamoja
SEHEMU A:KATIKA VIDEO SHUGHULI YA NDOA YA BI JADIDA BYABUSHA NA BW FEISARY BASHIR  
 SEHEMU B:BURUDANI 'KAMUNANA DUFU'
Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taala awajalie wanandoa hawa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau