Bukobawadau

NI SWAIBA BALOZI KAGASHEKI BUKOBA MJINI

EXCLUSIVE matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM Bukoba Mjini Balozi Kagasheki aibuka kidedea.
#‎SiasazaBukoba‬ Matokeo ya Jumla Ubunge Bukoba Mjini
1.(SWAIBA) BALOZI (SWAIBA) KAGASHEKI KURA 6971
2.AMANI ANATORY KURA 944
3.GEORGE RUBAIYUKA KURA 113
4.KAIJAGE KURA 71
5.KATARAIYA 53
6.KATABAZI KURA 34
7.RWEZAURA KURA 7
8.LUKOMOKA KURA 3
#SIASAZABUKOBA VIA BUKOBAWADAU MEDIA
 #‎siasazaBukoba‬
Jimbo la Bukoba Vijijini
Jason Rweikiza anaongoza kwa % kubwa dhidi ya Nazir Karamagi
Kwa ufupi Rweikiza keshafanikiwa kutetea kiti chake
Next Post Previous Post
Bukobawadau