WANUSURIKA BAADA YA MELI YA MV SERENGETI KUSHINDWA KUTIA NANGA
MJINI BUKOBA J'TATU AUG 18,2015;Zaidi ya abiria miamoja hamsini
waliokuwa wakisafiri na meli ya Mv Serengeti inayofanya safari zake
kutoka Mwanza hadi Bukoba wamenusurika kifo mara baada ya meli hiyo
kukumbana na upepo mkali na kushindwa kutia nanga katika bandari ya
Bukoba.
Meli hiyo iliyokuwa ikitokea jijini Mwanza kuelekea mjini bukoba ambapo ilikumbana na upepo mkali ndandi ya ziwa victoria na kushindwa kutioa nanga katika bandali ya Bukoba nakupelekea nahodha wa meli hiyo kuirudisha majini mpaka upepo ulipo tulia ndipo ilifanikiwa kutia nanga katika bandari ya Bukoba majira ya saa tano asubuhi.
Taswira usawa wa fukwe za ziwa Victoria,hali ilivyo Ziwa likiwa limechafuka.
Kwa upande wake nahodha wa meli hiyo Bembele Mwita amesema kuwa meli hiyo ilikuwa haina tatizo lolote la kiufundi bali upepo mkali ulikuwepo ndani ya ziwa Victoria ndio ulichangia kwa kiasikikubwa na kukwamisha meli hiyo na kushindwa kutioa nanga katika bandari ya Bukoba.

Nitakribani miezi miwili imepita meli ya Mv Serengeti ianze kufanya
kazi kama mbadala wa meli ya Mv Victoria baada ya kusimamishwa kwa ajili
ya matengenezo.