BONANZA LA WINDHOEK DRAUGHT KUFANYA BUKOBA NA MULEBA KUANZIA KESHO
Tamasha kubwa la
Windhoek Draught linatarajiwa kufanyika kesho Jumapili katika Viwanja
vya bukoba Club Mjini hapa,bonanza hilo litapambwa na burudani
mbalimbali huku mambo ya nyama choma yakihusika
Mwendelezo wa shangwe hizo kwa siku ya Jumatatu Sep 7, Bonanza hilo kutifuka katika kiwanja cha Rock Pub Bukoba kilichopo pembezoni mwa fukwe za Ziwa Victoria na Jumanne ya tarehe 8 ni zamu ya Wakazi wa Muleba ndani ya kiota cha Nalphin Hotel
Windhoek ni Kinywaji kinachoagizwa na kusambazwa na Kampuni ya Mabibo Beer,Wine and Spirity ya Jijini Dar es salaam.

Watu wote mnakaribishwa!