DK MAGUFULI AWATAKA WANANCHI, VIONGOZI KUDUMISHA AMANI YA NCHI ILI AONGOZE VIZURI
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa mjini Kibondo, Kigoma
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa, Kibondo, Kigoma
Akihutubia kwa nyakati tofauti, katika mikutano ya kampeni zake mkoani Kigoma, amekuwa akihimiza kudumisha amani nchini ambapo pia aliwataka viongozi wa kisiasa kuhubili sulala hilo katika mikutano yao.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja Kasulu, Kigoma
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk ,Magufuli alipokuwa akijinadi katika Jimbo la Buhigwe, Kigoma
Dk Magufuli akihutubia alipokuwa akifanya kampeni katika Kijiji cha Munanila, wilayani Buhigwe, Kigoma
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Buhigwe Albert Ntabaliba 'Obama' huku mmoja wa wagombea udiwani askishangilia wakati wa mkutano wa kampeni mjini Munanla Buhigwe, Kigoma leo
Mkazi wa Mji wa Munanila akisikiliza kwa makini Dk Magufuli alipokuwa akijinadi kwa wananchi katijka Jimbo la Buhigwe
Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli huku wakiwa na matawi ya miti katika Mji wa Munanila, Jimbo la GBuhigwe, Kigoma
Mama akiwa na mkungu wa ndizi alipokuwa akimsikiliza Dk Magufuli katika Kijiji cha Mvugwe wilayani Kasulu
Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akijinadi mjini Buhigwe, Kigoma leo
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Buhigwe Albert Ntabaliba 'Obama' katika kkiutano wa kampeni katika mji wa Buhigwe
Ni furaha iliyoje kwa wananchi baada ya kufurahishwa na sera za CCM zilizokuwa ziktolewa na Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Buhigwe leo

Dk Magufuli akiwanadi Daniel Nsanzugwako (kulia) anayegombea ubunge kupitia CCM katika Jimbo la Kasulu Mjini na Agustino Zuma Ole anayewania ubunge jimbo la Kasulu Kusini kupitia chama hicho
Dk Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge Jimbo la Kasulu Kusini, Agustino Ole Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni
Wananchi wakimrekodi kwa simu Dk Magufuli alipokuwa akihutubia katika moja ya vijijini wilayani Kibondo leo
Akina mama na watoto wakigombea picha za Dk Magufuli mjini Kibondo wakati wa mkutano wa kampeni
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, Abdallah Bulembo alkielezea wasifu wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Kibondo
Sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM MJINI Kibondo
Dk Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge Jimbo la Muhambwe kupitia , Injinia Atashasta Nditie Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho
Mratibu wa Magufuli kwa Maslahi kwa Umma Mkoa wa Kigoma, Silvia Sigula (kushoto) na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kigoma Peter Msangula wakishangilia baada ya kupendezewa na hotuba ya Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Kibondo leo