Bukobawadau

HARUSI YA REVOCATUS KASHAGA NA BI JOSPINA KAGEMULO YAFANA - MJINI BUKOBA SEP,2015

Matukio ya picha yalijiri katika harusi ya wadau wenzetu Bw. Revo na Bi Jospina iliyofungwa wiki jana kwenye Kanisa Kuu Jimbo katoliki Bukoba na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi Lake Hotel Mjini hapa.
  Ndani ya kanisa Kuu Padri akifungisha ndoa ya
Bwana harusi wetu Bw. Revocatus Kashaga pamoja na best man wake.
Ni moja ya harusi iliyopata kufana sana,Bukobawadau tunaujasiri wa kusema ilikuwa Bab kubwa!!


Naam Sasa ni Bwana na Bibi Revocatus Kashaga.
Si utani namna watu walivyo busy na matukio.








 Sehemu ya wanafamilia wakifuatilia  kinacho nje ya Kanisa kuu








Katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
 Katika ubora wao pichani wanaonekana Ma Mc waongozaji wa shughuli hii
Ndani ya ukumbi wa Lake hotel, sehemu ya waalikwa wakifuatilia jambo






 Pongezi za hapa na pale zikiendelea kwa Mama mzazi wa Bwana harusi wetu.
Bwana Revocatus akikabidhi zawadi kwa Mama mzaaa chema.
Mola awajalie ndoa ya kheri na salama 
 Kinachojiri maharusi wetu wakiendelea kupata huduma safi ya msosi

 Bonge la picha iliyochukuliwa mara baada ya ndoa yao takatifu iliyofungwa katika Kanisa Kuu Cathedral Mjini Bukoba

 MATUKIO YA PICHA ZAIDI NA SEHEMU YA VIDEO YANAENDELEA.....!

Next Post Previous Post
Bukobawadau