MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA SIKONGE,KALIUA,ULYANKULU NA URAMBO MKOANI TABORA
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt
Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia
wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa hadhara wa
kampeni. PICHA NA MICHUZI JR-URAMBO,TABORA
Wakazi wa mji wa Kaliua wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akimkabidhi Ilani ya CCM Mgombea Ubunge wa
jimbo la Kaliua kupitia chama cha CCM Prof.Juma Kapuya
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akisalimiana na Mgombea Ubunge wa jimbo la
Urambo kupitia chama cha CCM,Mh.Magret Sitta,kulia kwake ni Mh.Samweli
Sitta kwa pamoja wakimkaribisha Dkt Magufuli alipowasili kwenye mkutano
wa hadhara wa kampeni mjini Urambo jioni ya leo.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt
Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo jioni ya leo mkoani
Tabora,kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt
Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo jioni ya leo mkoani
Tabora,kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni.
Wananchi
wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,mjini
Urambo mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano huo wa hadhara
Wananchi
wakiwa wamekusanyika mjini Urambo kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM,Dkt Magufuli.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sikonge
mapema leo mchana mjini humo,kwenye mkutano wa kampeni mkoani
Tabora,kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Sikonge ambaye alijiunga na chama
cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa kwenye kura za maoni ya chama cha
CCM,Ndugu Said Nkumba abaye amerejesha kadi yake kwa Dkt Magufuli,shoto
ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George John.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia aliyekuwa Mbunge wa
Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa
kwenye kura za maoni ya chama cha CCM,Ndugu Said Nkumba akipeana mikono
na Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George John,mbele ya
Wananchi wa Sikonge kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia aliyekuwa Mbunge wa
Sikonge ambaye alijiunga na chama cha CHADEMA mara baada ya kuondolewa
kwenye kura za maoni ya chama cha CCM,Ndugu Said Nkumba akipeana mikono
na Mgombea Ubunge wa jimbo la Sikonge Ndugu George John,mbele ya
Wananchi wa Sikonge kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora.
Wananchi
wa Sikonge wakishangilia walipokuwa wakimsikiliza mgombea Urais wa CCM
Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa
Sikonge,Ndugu George John mbele ya Wananchi wa Sikonge mapema leo
mchana mjini humo,kwenye mkutano wa kampeni mkoani Tabora
Mgombea
Urais wa CCM,Dk Magufuli ukiwasili mapema leo kwenye uwanja wa kambi ya
zamani ya Wakimbizi kutoka Burundi,Ulyankulu wilayani Kaliua kwa ajili
ya kuwahutubia wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kwa wingi.
Mgombea
Urais wa CCM,Dk Magufuli ukiwahutubia wakazi wa Ulyankulu mapema leo
kwenye uwanja wa kambi ya zamani ya Wakimbizi kutoka Burundi,katika
mkutano wa Kampeni wilayani Kaliua kwa ajili ya kuwahutubia wananchi hao
waliokuwa wamekusanyika kwa wingi.
Mgombea Urais wa CCM,Dk Magufuli ukiwahutubia wakazi wa Ulyankulu
mapema leo kwenye uwanja wa kambi ya zamani ya Wakimbizi kutoka
Burundi,katika mkutano wa Kampeni wilayani Kaliua kwa ajili ya
kuwahutubia wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kwa wingi.
Wakazi wa Ulyankulu wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa CCM,Dkt Magufuli mapema leo mchana.
Wakazi wa Ulyankulu wakishangilia jambo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa CCM,Dkt Magufuli mapema leo mchana.
Wananchi
walipokuwa wameziba barabara wakitaka kumuona Mgombea Urais wa CCM Dkt
Magufuli alipokuwa akipita kuelekea wilayani Kaliua kuwahutubia
wananchi.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi waliokuwa wameziba barabara kuuzuia msafara wa mgombea huyo awasalimie.
Mgombea
Ubunge wa CCM kupitia jimbo la Kaliua,Prof.Juma Kapuya akiwahutubia
wananchi katika uwanja wa Kolimba mjini Kaliuna mapema leo.
Wakazi wa mji wa Kaliua wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Wananchi wa Urambo wakimsubiri kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli.

kampeni.