MAGUFULI BUKOBA KEEPS IT AT THE PEAK
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba
Wakazi wa Mji waBukoba na na Vitongoji vyake wakifuatilia na kusikiliza sera za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi na kuomba ridhaa mbele yao jioni ya leo
Kwa msisitizo mkubwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua swala la bei ya zao la kahawa ambapo ameahidi kulishughulikia pia ametoa ahadi ya Meli.
Balozi Khamis Kagasheki Mgombea Ubunge Jimbo la bukoba akiwahutubia maelfu ya watu waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe MagufulMagufuli
Ndugu Hamim Mahmudu Omary ,Katibu mwenezi CCM Mkoa akitoa maelezo kwa "kuzingatia itifaki"
Msanii Diamond Platnum
Sehemu ya Wakazi wa Mji wa Bukoba wakifuatilia kwa umakini sera za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati akijinadi na kuomba ridhaa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Gymkhana
Msanii Bushoke akiwajiba jukwaani kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli uliofanyika Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba jioni ya leo
Msanii Mr Blue Jukwani
Wafuasi wa CCM wakiendelea kufuatilia kinachojiri Viwanja vya Gymkhana jioni ya leo
Bi Aziza Sudi mmoja wa maelfu waliohudhuria mkutano huo
Umati wa watu wakishangilia kwa shangwe kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Magufuli
Yamoto Band jukwaani.
Mh. Mwijage akiwahutubia maelfu ya watu katika mkutano huo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera Mama Constancia Buhiye anatoa salam
Katikati ni Bwana Samora Lwakurwa Mgombea Udiwani kata ya Kashai
Mambo ya Magufuli Mjini Bukoba leo
Taswira katika picha kupitia bukobawadau Blog.
Fid Q akisema na wananchi Mjini hapa

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akijinadi kwa wananchi kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba/
Matukio ya Muleba picha na RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO
BLOG
Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli mjini Bukoba leo
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akiwapungia mikono kuwaaga wananchi baada ya kujinadi katika mkutano wa kampeni katika Jimbo la Muleba Kusini
Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi akiwemo Kamanda wa Poilis wa zamani wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Alfred Tibaigana katika Kijiji cha Buganguzi, Muleba Kusini
Dk Magufuli akiomba kupigiwa kura Muleba Kusini katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.
Dk Magufuli akiifariji familia ya aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswald ambaye aloifariki dunia katika ajali ya pikipiki
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni katika Jimbo la Muleba Kusini

Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli akiwasili katika mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini kuendelea na kampeni
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini
Mmoja wa wanachama wa upinzania akijitangaza kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA ccm
Dk Magufuli akiomba kura kwa wananchi katika Kata ya Nshamba Muleba Kusini
Wananchi wakifurahishwa na ujio wa Dk Magufuli katika Kata ya Kamachumu, Muleba Kaskazini
Mgombea ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini kijinadi kwa wananchi
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi Muleba Kaskazini
Mmoja wa wakazi wa Kamachumu akisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kuomba kura kwa wananchi
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi eneo la Kemondo
Ni furaha iliyoje kwa wananchi hawa baada ya kumuona Dk Magufuli alipowasili katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Marukucha MaBukoba Vijijini
Mwakilishi wa watu wenye ulemavu kwenye kampeni za CCM, Amon Mpanju akielezea wasifu wa Dk Magufuli
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Maruku, Bukoba Vijijini
Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akielezea sera za CCM
Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli
Dk.Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo hilo
Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akiingia kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini
Chege na Temba wakitumbuiza katika mkutano huo
Yamoto Bandi ikitumbuiza
FD Q akitumbuiza
Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kaskazini, Charles Mwijage akielezea umuhimu wa wananchi kumpigia kuraDk Magufuli. Wengine ni wagombea ubunge viti maalumu kupitia Mkoa wa Kagera. Kulia ni Halima Bulembo
Kundi la Diamond likitumbuiza wakati wa mkutano huo
Dk Magufuli akisalimiana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Naseeb Diamond Platnumz
Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bukoba
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM akijinadi kwa wananchi, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba
VIDEO BALOZI KAGASHEKI AKIWAHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI MJI HAPAWananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli mjini Bukoba leo