Bukobawadau

NDG SMART P.BAITANI KWA KAGONDO MPYA YENYE MTANDAO MPANA WA MAENDELEO

Ndugu Smart Petro Baitani nyota yake ilianza kung'aa pale alipo pata Scholarship ya kwenda nchini marekani mwaka 1998 kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sayansi ya Kompyuta na Muziki
Ni mgombea mwenye Nyota ya kukubalika Ndg Smart Petro Baitani mwenye Shahada ya Uongozi na utawala na uhusiano wa Kimataifa (BA in Public Administration & International Relations ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1998.
 Ndugu Smart Petro Baitani Mwaka 2000-2002 alijiunga na Chuo kikuu cha Metro State,Minnesota na kufuzu shahada ya Uzamili wa Usimamizi wa Biashara ya (MBA-Masters in Business Admistration),aliendelea kusoma Nchini Marekani shahada ya juu ya usimamizi wa Miradi ya kimataifa na Jamii (PMP-Project Management Professional)

SMART BAITANI KWA KAGONDO MPYA YENYE MTANDAO MPANA WA MAENDELEO
Next Post Previous Post
Bukobawadau