Bukobawadau

BALOZI KAMALA AHITIMISHA KAMPENI ZAKE MJINI KYAKA LEO

KYAKA-Missenyi ,Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, Balozi Dk. Kamala amefanya mkutano wake wa kuhitimisha kampeni  leo katika Mji Mdogo wa Kyaka -Missenyi ambapo amewataka wananchi waweze kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo ya kweli ,Asema;"Nkenge ya Viwanda inawezekana"
Wakazi wa Mji wa Kyaka wakionyesha Mahaba makubwa kwa Mgombea wao Balozi Dk. Kamala
 Umati wa Wananchi na WanaCCM wa Mji Mdogo wa Kyaka wakimshangilia Balozi Dk.Kamala.
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala,Balozi Bora wa Afrika kwa mwaka 2015 ,Mgombea Ubunge wa wa Jimbo la Nkenge kwa tiketi ya  CCM,akiwahutubia wakazi wa Mji wa Kyaka Leo,


 Mamia ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Udiwani Kata ya Kyaka Wilayani Missenyi
Ndugu Samuel Lugemalila na Bwana Swalehe Amis wakifuatilia kinachojiri katika mkutano huo


Baadhi ya Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo jioni ya Leo Mjini Kyaka.
Balozi Kamala akimnadi Mgombea Udiwani kata Kyaka Ndugu Tegamaisho pichani kulia.
Katibu wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Missenye  apanda jukwaa na kutangaza kuamia CCM Rasmi leo
 Mbele Kwa mbele #nawavimbe wapasuke#watajijua wenyewe  WanaCCM wakijimwaya uwanjani
 Baadhi ya wananchi wakiwa wamepata juu ya mti ili kushuhuda Ufungaji huu wa kihistoria.
 Mara baada ya kurejea Katibu wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Missenye anapata fursa ya kusalimiana na Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala.
 Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimshukuru , kada wa CCM Bi Domina Balyagati aliyeshriki kimamilifu katika Kampeni zake
 Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akitambua Uwepo wa Mpambanaji Uncle Samuel Lugemalila
 Uncle Samuel Lugemalila akipigilia msumari wa Mwisho kwa kumuombea kura Dk. Magufuli
 Baadhi wa wananchi wakifuatilia mkutano huo
 Mpambambani mwanaCCM bi Paulina akishambulia jukwaa
 Wananchi wakimsindikiza kwa Kidedea Kikubwa Balozi Dk. Kamala kwa ufupi ni kwamba 'Kamala yalile"
 Gari la mgombea Ubunge wa CCM  kwa tiketi ya CCM Jombo la Nkenge,Balozi Dk. Kamala likisukumwa na wakazi wa Mji wa Kyaka mara baada ya kuhitimsha mkutano wake wa Kampeni leo
 Vijana waendesha Bodaboda wakijitoa 'KIROHO SAFI' kuongoza msafara wa Mgombea wao, Balozi Dk. Kamala.

Next Post Previous Post
Bukobawadau