BALOZI KAMALA ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI CHA PARTAGE
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akijaribu kutumia randa alipotembelea
Chuo cha Ufundi cha Partage. Balozi Kamala amehaidi kusomesha Vijana
Kumi kutoka kila Kijiji ndani ya Jimbo la Nkenge katika Vyuo mbalimbali
vya Ufundi kwa nia ya kuwawezesha kujiajiri na kuongeza kasi ya
kupambana na umasikini. Jimbo la Nkenge lina vijiji 75.