BALOZI KAMALA MGENI RASMI MAHADHIMISHO YA KIDOTO CHA NNE SHULE YA SEKONDARY TWEYAMBE
Balozi Dkt Diodorus Buberwa Kamala Kamala mgeni Rasmi katika Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Tweyambe iliyopo wilayani Misenyi yaliyofanyika mwisho mwa juma lililopita .
Balozi Dtk Diodorus Buberwa Kamala ameshiriki mahafali hayo kwa kuangalia Maonesho ya taaluma kwa Wanafunzi Washiriki, kutoa vyeti na zawadi mbalimbali kwa Wanafunzi wahitimu na kutoa hotuba,ambapo ameahidi kuanzisha mradi wa maji kufuata changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu sana kufuata maji,pia ameahidi kutoa vifaa ya michezo na vitabu vya Sayansi.
Pichani kulia ni Mwalimu Tamimu wa shule ya Sekondari Tweyambe
Kama wanavyo onekana Wahitimu wakiteta jambo
Bwana William Rutta akimkaribisha Mgeni Rasmi kutoa hutuba yake
Taswira mbalimbali Ukumbini
Mzee Pius Ngeze akitoa neno katika mahafali hayo
Lisala kwa Mgeni Rasmi kutoka kwa wahitimu wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tweyambe
Mkuu wa shule ya Sekondari Tweyambe akisoma Lisala kwa mgeni Rasmi Balozi Dkt Kamala
Wahitimu wa kindato Cha nne muda mchache kabla ya kuingia Ukumbini
Wahitimu wakielekea Ukumbini
Mabinti wakapata picha ya kumbukumbu na Balozi Dtk Diodorus Buberwa Kamala
Bwana Hamad pichani kama alivyokutwa na Camera yetu katika mazigira ya Shule ya Sekondari Tweyambe
Matukio zaidi ya picha yanaendelea Baadhi ya Wahitimu Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tweyambe wakielekea ukumbini