BUKOBA LIVE: WAKATI INASUBIRIWA TUME ITANGAZE MATOKEO RASMI
Matukio ya picha Mjini Bukoba Wakati matokeo Rasmi yakisubiriwa kutangazwa
Wafuasi wa Chadema wakishangilia matokeo ya awali,mitaa mbalimbali ya Mji wa Bukoba.
Maeneo ya CRDB Bank Tawi la Bukoba
Askari wameweka kizuizi barabarani kuelekea Ofisi za Manispaa.
Hapa ni jengo la Kagera Coperative Union (KCU) katika hali ya Utulivu wafuasi wa Chadema wakiendelea kusubiria matokeo Rasmi yatangazwe
Wana wa Mabadiliko wakielekea Maeneo ya Manispaa
Mbele ya Jengo la Ofisi za CCM Wilaya ya Bukoba Mjini
Ndugu wa familia ya Lwakatare wakiendelea kufuatili kinachojiri
Endelea kuwa nasi kwa matokeo Official kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bukoba.
ALICHOKIANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK Wilfred Lwakatare Kuonyesha kuwa ameshinda Ubunge jimbo la bukoba Mjini'Na sasa umefika wakati wa mabadiliko kwa WATANZANIA.' Mmeyakubali na TUNAAHIDI kuto waangusha watanzania.SERIKALI YA WANANCHI WOTE IMEKUJA SASA.Ahsante wanabukoba kwa kunituma Mimi na madiwani WA UKAWA 10/14. TUTAWATUMIKIA!
#ELIMU #ELIMU#ELIMU