DK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO
Turn off for: Swahili
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana. Dk Magufuli amefanya kampeni nchi nzima kwa barabara kwa kusafiri kwa magari zaidi ya Km 40.
Dk Magufuli amewaomba watanzania wote kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo ambapo yeye amesema atawalipa kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo Wanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Dk Magufuli akibusu kiganja chake ikiwa ni ishara ya kuwapenda wananchi waliofurika leo kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Kirumba, Mwanza.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kuhitimisha kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana. Dk Magufuli amefanya kampeni nchi nzima kwa barabara kwa kusafiri kwa magari zaidi ya Km 40.
Rais Jakaya Kikwete akiwaomba watanzania kumpigia kura nyingi za ndiyo Dk Magufuli kwani anamuamini na atawachapia kazi na kulifanya Taifa lisonge mbele.
Wananchi wakishangilia baada ya kunogewa na ahadi lukuki alizozitoa Dk Magufuli kwa wakazi wa Mwanza na Kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla.
Ni furaha iliyoje kwa wakazi hawa wa Mwanza wakati wa mkutano huo wa kuhitimisha kampeni kwenye Uwanja wa CCM, Kirumba.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Yote haya yalikuwepo Kirumba
Warembo wakisikiliza kwa makini wakati Rais Jnakaya Kikwete, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Unsalama akitangaza kwamba uchaguzi utafanyika kwa uhuru na amani na kwamba wanaoota kufanya fujo watakiona cha moto.
Rais Jakaya Kikwete akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Anjelina Mabula
Rais Kikwete akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Nyamagana kupitia CCM, Stanslaus Mabula.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kweli HAPA KAZI TU KWA DK MAGUFULI
Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa akitumbuiza wakati wa mkutano huo.
Ni furaha iliyojeDk Magufuli akiwasalimia wananchi
Dk Magufuli akiwasalimia wananchi Uwanja wa Kirumba, jijini Mwanza
Baadhi ya wasanii wa Kikundi cha Ngoma za asili cha Mchele mchele wakifurahi baada ya Dk Magufuli kutangaza kuwasaidia wasanii endapo akishinda urais
Dk Magufuli na Mratibu wa Kampeni za Dk Magufuli, Abdallah Bulembo pamoja na viongozi wengine akicheza kwa furaha wakisubiri kumpokea Rais Kikwete
Dk Magufuli akiongozana na Rais Kikwete baada ya kumlaki Uwanjani hapo
Dk Magufuli na Kikwete wakiwasalimia wananchi kwa kuwapungia mikono
Msanii akiwa amejipamba kwa picha za Dk Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan
Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo
Mgombea Mwenza wa urais wa Tganzania kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akibadilisha mawazo na Mratibu wa kampeni za Magufuli, Abdallah Bulembo wakati wa mkutano wa kuhitimisha kampeni jijini Mwanza leo.
Yamoto Band ikitumbuiza wakati wa kampeni hizo
Kila mmoja alinogewa na muziki wa CCM uliokuwa ukiporomoshwa uwanjani hapo
Dk Magufuli na Rais Kikwete wakicheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa wakati wa kampeni jijini Mwanza leo
Msanii JB akiwa na kundi la Team Kibajaj wakielezea jinsi wasnanii hao walivyofanikiwa kuwashawishi watanzania kumpigia kura za ndiyo Dk Magufuli.
Msanii Fid Q akighani wimbo wa Hip Pop w3a kuifagilia CCM na Dk Magufuli
Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini, akielezea jinsi walivyowashawishi vijana na wanavyuo kuipigia kura CCM na Dk Magufuli.
Shmrashamra zilivyokuwa uwanja hapo
Moja ya mabango yaliyokuwepo Uwanjani hapo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Moja ya vionjo uwanjani hapo