HARAKATI ZA BALOZI DIODORUS KAMALA NA UNCLE SAMUEL LUGEMALILA LEO OCT 22,2015
Kutoka Nkenge Missenyi Leo ct 22,Uncle Samuel Lugemalila
awaomba wanachi wajiunge na jamii ya CCM inayozidi kukua na kufanya
kazi pamoja ,awataka wachague mafiga matatu, wamchaguwe Dk Magufuli ,
Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala na Madiwani wa CCM ili kuhakikisha
kazi ambayo imefanywa hadi sasa, na ambazo zinaendelea kufanya
zinahakikisha maendelea na mafanikio ya Tanzania ya leo na vizazi
vijavyo.
UMOJA NI USHINDI
Mgombea Udiwani wa kata Bugandika Ndugu Amudy Ally MigeyoUncle Samuel Lugemalila
Ndugu Samuel Lugemalila kampeni meneja wa (Magufuli CLUB) Jimbo la Nkenge akimnadi Mgombea Udiwani kata Bugandika ndugu Amudy Ally Migeyo
Wananchi wakimsikiliza Ndugu Samuel Lugemalila wakati akiwahutubia
Ndugu Samuel Lugemalila akiendelea kuwahutubia Wananchi wa Kata Bugandika.
Bibi ambaye ni kada waCCM akifuatilia kinachojiri katika mkutano huo
Mpambanaji maarufu kama Wamvuto akiendelea kutema kuwahutubia wakazi wa Kata Bugandika
Wadau wakimshukuru na kumpongeza Uncle Samuel Lugemalila.
Kama wanavyo onekana pichani wakiteta jambo
Katibu Mwenezi wa Kijiji Kata Kilimilile akiomba kura kwa Wananchi waliohudhuria Mkutano huo
Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Kenyana Kata Kilimilile iliyoko wilayani Missenyi leo katika mkutano wake wa hadhara
Baadhi ya wananchin wakiwa tayari kumpa ridhaa ya Ubunge Balozi Dk. Diodorus B.Kamala
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Ubunge wakati akiendelea kunadi Sera na Ilani ya CCM
Wananchi wa Kijiji cha Kenyana Kata Kilimilile iliyoko wilayani Missenyi wakimsikiliza Mgombea wao Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala katika mkutano wake wa hadhara
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Costansia Buhiye akimkaribisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala
Baadhi ya wakazi wa mji wa Kijiji cha Ekenyana ,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mapema ya leo
Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala
Ndugu Charles Matunda akiwapungia watu mikono wakati wa Utambulisho
Wananchi wakiendelea kufuatilia Mkutano mkutano wa kampeni wa Balozi Kamala leo.
Ndugu Ismail Sadick Katibu Mwenezi wa Kata Mutukula
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni wa Ndugu Samuel Lugemalila uliofanyika kwenye Kata Bugandika
Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala wakati msafara wake ulipozuiwa na wananchi wa Kyaka
Umati wa Wananchi wakisalimiana na Balozi Dk.Kamala wakati msafara wake ulipozuiwa katika Mji wa Kyaka