KAYUMBA JUMA MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH 2015
Mshindi wa Bongo Star Search 2015 Kayumba Juma hatua ya fainali Top 2.
TOP 2 ni Kayumba Juma Jukwaani mshindi aliyejinyakulia kitita cha Mil 50.
Kwenye Stage ya Bongo Star Search 2015 ni Msanii kutoka Nigeria RUNTOWN
Msanii kutoka nchini Nigeria Run town akiwajibika jukwaani
Kutoka Top 2 Jukwaani ni Nasibu Fonabo