KUTOKAMBEYAMJINI - NGOYAI LOWASSA
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika
viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba
kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka
#Mabadiliko2015
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Mbeya jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu
#KutokaMbeya mgombea urais kupitia CHADEMA kwa tiketi ya UKAWA,Edward Lowassa amewahakikishia wakulima kuwa kama akichaguliwa kuwa rais ataboresha kilimo na kuwa cha kisasa na atafuta ushuru wa mazao na pembejeo na kwamba wakulima watakuwa na uhuru wa kuuza mazao yao nje ya nchi.