MAFURIKO YA LOWASSA MJINI MUSOMA LEO
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma
Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini,
Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Musoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini,
Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.