ONGEA NAO, SEMA NA WAPIGA KURA WAKO!
WAANDIKIE, ONGEA NAO, SEMA NA WAPIGA KURA WAKO!
Bukoba Wadau Media inawaalika Wagombea wa nafasi mbalimbali za uwakilishi katika ngazi za Udiwani na Ubunge Mkoani Kagera kujumuika na wapiga kura wao. Tutawawezesha kunadi Sera na Mipango yao na vyama vyao kwa ufanisi. Fursa hii inapatikana kupitia blog yako pendwa na majukwaa mbalimbali ya mitandao ya Kijamii yanayomilikwa na kuendeshwa na Bukoba Wadau Media.Kwa kupitia katika vyombo vyetu (Blog,Social media pages na Whatsaap) utawafikia moja kwa moja wapiga kura wako au wale wenye uwezo wa kuwashawishi wapiga kura wako katika ngazi ya Kata na Jimbo.

Tutakuwezesha kukutana na walengwa kwa njia ya kuandika ujumbe wa maneno, kutuma sauti au video fupi na ya ukubwa wa wastani.
Kupata huduma hii wasiliana nasi kupitia:
+255 784 505045
+255 684 627030
+255 754 505043