Bukobawadau

VIDEO:YALIYOJIRI MKUTANOWA BALOZI KAMALA

Balozi bora Afrika kwa mwaka 2015,Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiteta jambo na Mzee Lugaibula Mgombea Udiwani wa Kata Kashenye ,wakati wa Mkutano wao wa Kampani.
PITIA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI
BUKOBAWADAU MEDIA tunaendelea kujitahidi kuripoti kampeni za uchaguzi kama sehemu ya majukumu yetu ya kila siku kuhakikisha wananchi wanapata habari. Pia tunatoa wito kwa Wagombea wa vyama mbalimbali wajitahidi kutushirikisha ikibidi na kuchangia gharama za uendeshaji ..!
Next Post Previous Post
Bukobawadau