Bukobawadau

Wilfred Lwakatare Atangazwa Rasmi Mbunge Bukoba Mjini

 Tume yatangaza Rasmi matokeo 'Lwaks' Wilfred M. Lwakatare
Mbunge JIMBO la Bukoba Mjini
MATOKEO YA UBUNGE BUKOBA MJINI KWA MUJIBU WA NEC,
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Bukoba mjini Bw.Aron Kagurumjuli ametangaza matokeo ya ubunge kama ifuatavyo;
-Wilfred Lwakatare (CHADEMA) 28,112 sawa na 51.9%
-Khamis Kagasheki (CCM) 25,565 sawa na 47.2%

Kagasheki aliwahi kuwa Waziri wa JK kabla ya Operesheni Tokomeza. Naona UKAWA wameamua kumsaidia JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya JK kushindwa kufanya hivyo kwa mujibu wa Katiba.!
Picha kwa hisani ya Lutta, Mh. Chief Kalumuna Diwani wa Kata Kahororo Chadema akishangilia matokeo.

'Lwaks' Wilfred M. Lwakatare  mara baada ya kutangazwa Rasmi
Next Post Previous Post
Bukobawadau