Bukobawadau

H. SQUARE HAIR CUTTING SALOON NI SALON YA KISASA YA KIUME ILIYOPO MJINI BUKOBA

Katika jambo ambalo Bukoba inajitahidi ni kuwa saloon za kiume zilizo za ukweli, tafauti na zamani mteja akienda kunyoa nywele mpaka aende akaoge. Mjini Kati Bukobawadau Media imevutiwa na salon ya H. SQUARE jijinsi walivyo wasafi, huduma pamoja na vifaa.
  H. SQUARE ni salon inayochukua kasi na kujipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Mji wa Bukoba kwa huduma bora kama kuweka Super Black, Wave, Mask, Scrub na Magic pia huduma ya kusafisha kucha,
Hii ni madhari ya ndani ya saloon full kipukwe "air conditioned" hapa mteja anapewa huduma ya hali ya juu.
Mteja anapomaliza kunyolewa, huoshwa katika sehemu hii maalum.
 Wapo Tupendane Streen jirani na CRDB Bank,makutano ya barabara ya Kashozi Mkabala na Oxygen Bar & Lounge
Hapo anaonekana Mteja ndani ya saloon ya kisasa kabisa akiwa anasubilia huduma ya mwisho baada ya kufanyiwa scrab na kuonekana nadhifu
Baadhi ya staff wa H. Sguare Salon katika picha ya pamoja.
 Mteja akiwa katika sehemu maalum kwa ajili ya kusafisha ngozi mara baada ya kunyolewa na Magic
H. SQUARE Salon inaeneo zuri la kuegesha magari kwa wateja, pili salon yenyewe ina mvuto unaoonekana kwa nje
Pichani ni mmoja wa Vinyozi maarufu ndani ya Manispaa ya Bukoba.
 Kinyozi akiendelea kuwajibika ndani ya H. Square hair Cutting Salon,Mjini Kati Bukobawadau Media imevutiwa na saloon hii jinsi walivyo wasafi, huduma pamoja na vifaa vya kisasa vyenye quality ya juu sana H. SQUARE ni salon inayochukua kasi na kujipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Mji wa Bukoba kwa huduma bora kama kuweka Super Black, Wave, Mask, Scrub na Magic pia huduma ya kusafisha kucha H. SQUARE Salon inaeneo zuri la kuegesha magari kwa wateja, pili saloon yenyewe ina mvuto unaoonekana kwa nje Wapo Tupendane Streen jirani na CRDB Bank,makutano ya barabara ya Kashozi Mkabala na Oxygen Bar & Lounge
 BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa Shukrani za pekee kwako wewe Mdau na wengine waliokubali kuwa sehemu ya Msomaji wa habari zetu,Pamoja na mengine tunakukumbusha kupitia Older post hili kupata habari za muda mchache uliopita.!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau