Bukobawadau

MJI WA NSHAMBA MULEBA LEO NOV 25,2015

Camera yetu ndani ya Mji wa Nshamba Wilayani Muleba, pichani linaonekana  jengo la ghorofa moja ambalo lipo katikati ya mji wa Nshamba,Mali ya Mzee Mathias Mshuti.
 Muonekano wa Nyumba,Makazi ya familia moja mjini Nshamba Wilayani Muleba
Soko la ndani kwa ndani masikani hapa, huduma inayopatikana ni kuni, Mkaa,Chumvi miwa, Embe,machungwa,nanasi ,nyanya ,ndizi na kadhalika,kutoka Nshamba live kupitia Bukobawadau
Muonekano wa Majembo mbalimbali .

Vijana wa bodaboda wakiendelea kuwajibika

Nshamba Center kuelekea Soko Kuu.
Barabara Kuu kutoka Kishanda.Kamachumu kuingia Nshamba Mjini
 Mikungu ya Ndizi ikiwa tayari kusafirishwa kuelekea Mikoa ya Jirani
Taswira ya majembo mbalimbali ndani ya Mji Mdogo wa Nshamba Wilayani Muleba
Mito na mabonde
 Katikati ya barabara ya Nshamba,Mzunguuko {Roundabout}
 Muonekano wa Kanisa Katoliki la mji mdogo wa Nshamba, jimbo la Muleba Kusini
Muonekano wa Banda la Mashine ya Kusaga na Kukoboa ndani ya Mji Mdogo wa Nshamba.
 Bango lililopo Njia panda kuelekea Ijumbi Shule ya Sekondari.
Bango la Shule ya Sekondari ya Nshamba
 Ndani ya Kijiji cha Nshamba Wilayani Muleba.
Bukobawadau Media tukiendelea kukuangazia maeneo mbalimbali ya Mji Mdogo wa Nshamba.
 Kuelekea Shule ya Sekondari Nshamba
 Bibi Kigongwe wenye umri wa miaka 80 akiwa imara kama anavyo onekana pichani akisuka Mkeka
 Mtu na Mama yake Mzazi , pichani kushoto ni Mama Ahdari mkazi wa Nshamba Muleba

Sasa Kazi kauli mbiu ya mwaka huu,iliyotumiwa na Wakazi ya Nshamba kutoka katika familia ya Kyeju's toka miaka ya 80 !

Moja ya Nyumba ya familia maarufu ya Kyeju's wakazi wa Nshamba Wilayani.
Taswira mbalimbali katika picha

Mmoja wa Wadau kijijini hapa akicheck na Camera yetu
 Msikiti wa Omkigando Wilayani Muleba.
 Anaitwa Mr Pepe,kijana mpambana anapatika pande za Muleba
 Uwanja wa Mpira wa David Zimbihile uliopo Wilayani Muleba, Marehemu Mzee David Zimbihile alikuwa kada wa CCM ,mpigania uhuru na Mbunge wa kwanza wa jimbo la Ihangiro sasa ni Muleba Kusini.
 Soko la Mitumba Mjini Muleba
 Soko la Ndizi Wilayani Muleba
Pitapita za Wananchi ndani ya Soko la Muleba

Next Post Previous Post
Bukobawadau