MSAFARA WA MWILI WA OMWANA MARIA EDWARD MBONEKO KUELEKEA KIJIJINI GERA
Muonekano Msafara wa Msiba wa Marehemu Omwana Maria Edward Mboneko
(shangazi wa Mlangira Kataruga ) ulioanza Safari kutoka Rwamishenye
kuelekea Kijijini Gera Bukoba.
Shughuli ya mazishi kufanyika leo Jumatatu Jan 11,2015 Kijiji Gera - Nyalulembo Saa 9 Mchana.
BUKOBAWADAU MEDIA tunatoa pole zetu za dhati kwa familia ya Mlangira Mboneko,tunamuomba mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu ampumzishe mahala pema peponi Amen !!