MWILI WA MAREHEMU BI ZAITUNI KABYEMELA WASINDIKIZWA KUELEKEA NYUMBANI MARUKU
Matukio ya picha baada ya mwili wa marehemu Bi Zaituni K. Kabyemela (Mama Rahym Kabyemela)
kutolewa mochwari ya hospitali ya Mkoa upokuwa umehifadhiwa na mara
baada ya Mwili kusaliwa katika msikiti wa Jamia Mjini hapa
Muonekano wa matukio ya picha baadhi ya waombolezaji na wafiwa wakiwa tayari kwa
msafara kuelekea Kijijini Maruku,Mwili wa Marehemu Bi Zaituni K.
Kabyemela utapumzishwa katika nyumba yake ya milele siku ya kesho/leo
Ijumaa Jan 8,2016 Nyumbani Kijijini Maruku saa 8:00 mchana ( baada ya Sala ya Ijumaa )
Baadhi ya waombolezaji wakiwa tayari kuelekea msibani Kijijini Maruku
Sheikh Haruna Kichwabuta akiendelea kumfariji Mzee A.Kabyemela kufuatia msiba huu wa Mke wake.
Hakika ni simanzi kubwa kwa watu wote msibani hapa
Pichani kutoka kushoto Bi Maua Ramadhan,Lilian Mwise, Opp Kasimbazi wa Makoko,Optaty Henry (katibu wetu maswala ya Kijamii),Ndg Jamal Kalumuna, Ndg Mwinyi (tshirt yenye mistari) na Bi Rukia pichani mbele
Matukio mwili wa Marehemu ukitolewa kwenye Gari.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Bi Zaituni K.
Kabyemela likipelekwa ndani
Ni vilio na huzuni mara baada ya mwili kuwasili nyumbani Kijijini Maruku
Machozi na Vilio vikitawala kwa kuondokewa na mpendwa wao Marehemu Bi Zaituni K.
Kabyemela
Bi Hawa Hassan na Mama Rubby mara baada ya kuwafariji wafiwa
Bwana Optay akitoa mkono wa pole kwa wafiwa
Mmoja wa watoto wa Marehemu Bi Zaituni K.
Kabyemela
Bi Sharifa Karwani pichani
Baadhi ya wanafamilia wakibadilishana mawazo msibani hapo.
Kushoto ni Yunus Kabyemela, Khamis Chappa na Bw. Lawrence Barongo
Taswira Kijijini Maruku baadhi ya wadau walioshiriki kuusindikiza mwili wa Marehemu Bi Zaituni K.
Kabyemela
Mrs Optay akiwa amefika kuwafariji wafiwa
Mama Hawa Hassan na Mama Rubby pichani
Muendelezo wa matukio ya picha
Pichani kulia anaonekana Bw. Rahym Kabyemela akijadili maswala na Dada zake .
Msafara wa Magari kuelekea Kijijini Kanyangeleko Maruku
Msafara kuelekea Maruku.
Ndivyo anavyo onekana Ndg Optaty Henry mara baada ya kuwasiri Kijijini Maruku
Sehemu ya waombolezaji
Sehemu ya waombolezaji
Kijana Razackakiendelea kupasha habari za kifo cha Bibi yake
Marehemu Bi Zaituni K.
Kabyemela wakati wa Uhai wake
Bukobawadau Media tunatoa pole zetu za dhati kwa familia ya Mzee Kabyemela,
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho Marehemu Bi Zaituni K. Kabyemela aipumzishe kwa amani !!
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho Marehemu Bi Zaituni K. Kabyemela aipumzishe kwa amani !!
"INNALILAHI WA INNA ILAYHI RAJIOON".!!