WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI YAPOKEA MAONI YA WADAU WA MAJI KATIKA MJI MDOGO WA HIMO.
Mkurugenzi wa MUWSA,Joyce Msiru akimuongoza Mkuu wa wilaya ya Moshi na wageni wengine kutoka wizara ya maji kuingia ukumbini. |
Baadhi ya Viongozi kutoka Menejimenti ya MUWSA pamoja na wawakilishi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika kikao hicho. |
Baadhi ya wajumbe wa mji mdogo wa Himo na Madiwani wakiwa na mwanasheria wa Wizara ya maji na Umwagiliaji. |
Afisa mtendaji wa mamlaka ya mji mdogo wa Himo,William Mseoakizungumza wakati wa utambulisho wa wageni katika kikao hicho. |
Baadhi ya wananchi na wajumbe wa mji mdogo wa Himo wakiwa katika kikao hicho. |
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Sharry Raymond akizungumza katika kikao hicho. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza katika kikao hicho. |
Baadhi ya wananchi. |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akichangia jambo katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa KKKT Himo. NaDixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. | . |