MATOKEO KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI YA KAIZIREGE YAONGOZA KITAIFA
Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato
cha Nne toka shule ya Canossa Girls.Anaitwa Butogwa Charles Shija,
akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake Kipunguni Jijini la Dar es
Salaam
BARAZA LA MITIHANI TAIFA (NECTA) LIMETANGAZA RASMI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE AMBAO MTIHANI WAKE MWEZI NOVEMBA MWAKA JANA AMBAPO UFAULU UMEPUNGUA KWA ASLIMIA 0.1
MATOKEO KWA UJUMLA
DIVISION 1-3 ASILIMIA 23
DIVISION 4-0 ASILIMIA 77

KUMI BORA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI
1-KAZIREGE-KAGERA
2-ALLIANCE GIRLS-MWANZA
3-ST FRNACIS GIRLS-MBEYA
4-ALLIANCE BOYS-MWANZA
5-CAHOSSA-DAR ES SALAAM
6-MARIAN BOYS-PWANI
7-ALLIAMCE ARMY-MWANZA
8-FEZA GIRLS-DSM
9-FEZA BOYS- DSM
10- URU SEMINARY-KILIMANJARO
Mdau Innocent Mushaijaki katika picha na "Mtanzania" Congcong Wang, mwenye asili ya China; ameshika Nafasi ya PILI KITAIFA, huku akipata Divisheni 1.7 yenye 'B' katika somo la Kiswahili!
Amemaliza Kidato cha Nne FEZA GIRLS - 2015