Bukobawadau

MATUKIO HARUSI YA BW.CHARLES CHAMLINDI NA BI ESTER MUTESIGWA - BUKOBA FEB 5,2016



Mwanzoni Ilikuwa kama utani hivi jamaa alipotunyooshea maelezo kwamba anataka kufunga ndoa Rasmi!Watu tukachukulia simple tukajua kama kawaida jamaa hupenda utani. Mara he! Ijumaa ya tarehe 5 Feb, 2016 yakatimia kweli. Mdau Charles Chamlindi akaamua kuliaga chama la makapera na kupanda gari isiyokuwa na gear ya reverse. Akafunga pingu za maisha na Bi Ester Mutesigwa.Wakaamua kuishi pamoja for the rest of their life.

Pamoja na mambo mengine yote yanayo endelea kuna wakati, unataka mwisho wa siku uwe na kumbukumbu bora ya siku hiyo hapo ndipo Bukobawadau Entertainment Media na ‪#‎NyumbaniStudio‬ tunapohusika kwa uwezo na kipaji cha kupiga picha kwendana na tekinolojia



Mr & Mrs Charles Chamlindi katika picha ya pozi pande za mchangani,mara baada ya tukio hili inafuatiwa kufatiwa na sherehe kubwa iliyokusanya watu kibwena ,sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa St.Theresa Mjini Bukoba

Maharusi wetu katika pozi moja matata kwa ajili ya picha za kumbukumbu

BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241


Raha ya ndoa inapoanza kuchukua kasi

Kijana Alex Dreva mahiri akiwa tayari kwa ajili ya msafara wa harusi


Msafara ukiendelea ...

Msafara wa maharusi katikati ya viunga vya mji wa Bukoba

Marafiki wa karibu wa Bw. Charles Chamlindi wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi



Maharusi wetu katika picha ya pamoja na wapambe wao...




Marafiki wa Bwana harusi wetu muda mchache kabla ya matukio ya ukumbini




Kamati ya mapokezi ikiwajibika




Taswira mbalimbali ndani ya Ukumbi wa St. Theresa






Taswira Ukumbini.


Pichani kushoto ni Elias Mtaki na kulia ni Mr Mtaki


Wanadada wakiendelea kufurahi hafla ya Bw na Bibi Charles Chamlindi

Meza ya Mh. Kilaja na Mama Chui


Baadhi ya waalikwa ukumbini

Sehemu ya waalikwa ukumbini

Bi Devotha David na Bi Rehema Ridhiwani ni sehemu ya waalikwa wa harusi hii

Mdau Paul Manyama pichani


Bwana Harusi Charles Chamlindi akikabidhi zawadi ya Keki kwa wazazi wa Bibi Harusi

Bibi Harusi Ester Mutesigwa akiwa tayari kukabidhi zawadi ya Keki kwa wazazi wa Bwana Harusi



Baadhi ya waalikwa wakiendelea kufurahia hafla ya kuwapongeza Bwana na Bibi Chamlindi

Pongezi kwa maharusi zikiendelea
Sehemu ya waalikwa mara baada ya kuwapongeza maharusi

Mwenye furaha pichani katikati ni Uncle Hassan , rafiki wa Bwana Charles Chamlindi

Pichani kushoto anaonekana Mrs Optay Henry

Baadhi ya wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi, wakipozi kwa picha, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya keki

Shangwe na furaha za wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi,tukio la kukabidhiwa zawadi ya keki


Tukio la burudani kutoka kwa marafiki wa Bwana Charles Chamlindi

Neno kutoka kwa marafiki waliosoma na Bwana Harusi (Mates)



Bwana Elhadi mweka hazina wa kamati ya maandalizi akikabidhi Cheki ya zawadi ya kamati

Moja kati ya picha tuliyopendezewa nayo.

Mc Rutakwa, mwendeshaji wa shughuli hii akidhibitisha kile kilichoandikwa kwenye cheki hiyo

Katikati ni mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi

Utambulisho kwa wanakamati

Zawadi kutoka kwa upande wa wazazi wa Bibi harusi, Bi Ester Mutesigwa

Wazazi wa Bibi harusi wakikabidhi zawadi .

Pongezi kwa maharusi kutoka kwa waalikwa


Mwendelezo wa pongezi kwa maharusi

Endelea kuwa nasi kwa matukio ya picha zaidi




Matukio zaidi yaliyojii ukumbini kupitia Bukobawadau Media



Pongezi kwa maharusi hawa

Mr & Mrs William Lutta pichani




Wafanyakazi wenzake na Bwana harusi wakitowa mkono wa pongezi

BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241


Jiunga na Ukurasa wetu wa Bukobawadau Entertainment Media kwa matukio zaidi ya picha
Next Post Previous Post
Bukobawadau