Bukobawadau

WAHUDUMU WA AFYA KATIKA JAMII WATOA ELIMU NA UHAMASISHAJI KUHUSU UZAZI WA MPANGO MKOANI KIGOMA

Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Dk.Leonald Subi (aliyesimama katikati) akisisitiza jambo wakati akifungua mafunzo ya wiki ya wahudumu wa afya katka jamii juu ya utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusu matumizi ya njia salama za uzazi wa mpango.
 Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Dk.Leonald Subi (aliyesimama kushoto) akizungumza  na wahudumu wa afya katka jamii wakati akifungua mafunzo ya wiki mbili juu ya utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusu matumizi ya njia salama za uzazi wa mpango.
 Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Dk.Leonald Subi (aliyesimama kulia) akizungumza  na wahudumu wa afya katka jamii wakati akifungua mafunzo ya wiki mbili juu ya utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusu matumizi ya njia salama za uzazi wa mpango.
 Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Dk.Leonald Subi (mwenye mawani) akizungumza  na wahudumu wa afya katka jamii wakati akifungua mafunzo ya wiki mbili juu ya utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusu matumizi ya njia salama za uzazi wa mpango.

 Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Dk.Leonald Subi (aliyekaa katikakati)akiwa katika picha ya pamoja na wahudumu wa afya katika jamii muda mfupi baada ya kufungua mafunzo ya wiki mbili juu ya utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusu matumizi ya njia salama za uzazi wa mpango.

 Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Dk.Leonald Subi (aliyekaa katikakati)akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa wahudumu wa afya katika jamii muda mfupi baada ya kufungua mafunzo ya juu ya utoaji elimu na uhamasishaji jamii kuhusu matumizi ya njia salama za uzazi wa mpango
Next Post Previous Post
Bukobawadau