DKT. POSSI AZINDUA KITABU CHA “HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?”
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akizungumza katika uzinduzi wa
kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? (Jinsi gani
Tanzania kutoka katika umasikini kuelekea katika ustawi) kimeandikwa na wahadhili kutoka chuo kikuu cha
Dar es Salaam. Kitabu hicho kimezinduliwa katika ofisi za waziri mkuu jijini
Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
Profesa Laciun Msambichaka na mhariri Mkuu wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha kitabu hichokatika uzinduzi uliofanyika jijini Dares Salaam tarehe 10 Machi 2016, katika ofisi ya waziri mkuu.
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Bashiru Ally (Kushoto) akifafanua dhima nzima ya kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? katika ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es Salaam, tarehe 10 Machi 2016, Katikati ni Mkuu wa Ndaki ya Sayansi ya jamii chuo kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Godius Kahyarara na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi wakiwa kwenye uzinduzi wa kitabu hicho.
Mkuu wa Ndaki ya Sayansi ya jamii chuo kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Godius Kahyarara akifafanua jambo katika uzinduzi wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERT TO PROSPERITY katika ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.

Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akikata utepe kuashiria uzinduzi
wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?
katika ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi (katikati ) akionyesha kitabu
kilichozinduliwa leo kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY
TO PROSPERITY? kitabu hicho kimezinduliwa katika ofisi ya waziri mkuu
jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016. Wengine ni wahadhiri wa chuo
kikuu cha Dar es Salaam wakipiga makufi mara baada ya kuzindua kitabu hicho.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akiwa na baadhi ya wahadhiri,
waandishi wa kitabu na waalikwa wakiwa
katika picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa kitabu cha HOW CAN
TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? katika ofisi ya waziri mkuu
jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.