MH.MBUNGE BALOZI DR DEODORUS KAMALA ANAENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza kwa umakini Diwani wa Kata ya Bwanjai Bwana Phocas pichani (kulia )wakati akitoa taarifa yake kwa Mbunge pamoja kuelezea Changamoto mbalimbali zinazo ikanili kata ya Bwanjai inyaoundwa na Vijiji sita ambavyo ni Buhekera,Buhangaruti,Bukabuye,Rwamashonga,Kantare na Nyabihokwe vyenye Jumla ya wakazi 7057,kati ya hao wanaume ni 3283 na Wanawake ni 3774.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (pichani) akiongea na wananchi wa Kata ya Bwanjai katika mkutano wake na wananchi uliofanyika Feb 29,2016 ,Balozi Kamala awali Balozi Kamala alichangia mifuko 30 ya Saruji katika Ujenzi wa maabara pia ametumia fursa hii kuchangia mifuko 20 ya ziada pamoja na kuchangia miradi mbalimbali ya maendelewa inayotekelezwa katika kata hiyo kama Ujenzi wa Ofisi ya Kijiji Nyabihokwe,Ujenzi wa Choo shule ya Msingi Kantare na kuahidi kushughulikia kero ya miundombinu ya Maji na Barabara.
Hata hivyo Balozi Kamala amewaomba wananchi wawe na utamaduni wa kuchangia maendeleo ya vijiji vyao
Baadhi ya wadau waliohudhuria mkutano huo
Bwana Antidius Kaizilege mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Bwanjai
Bi Goreth G.Byemelwa ,Afisa mtendaji wa Kata Bwanjai akisoma taarifa ya Kamati ya maendeleo ya Kata kwa Mh.Mbunge Balozi Dr. Diodorius Kamala
Wakazi wa kata ya Bwanjai.
Kata ya Bwanjai inachangamoto mbalimbali kama ifuatavyo;Upungufu wa walimu wa Sayansi shule ya Sekondari Bwanjai,Upungufu wa madawati 1205 katika shule za Msingi,Upungufu wa maofisa watendaji wa Vijiji vya Rwamashonga na Bukabuye.
Miradi iliyo iliyotekelezwa ni Ujenzi wa Soko la wakulima Kijiji Rwamashonga kupitia Dasip ambao upo katika utaratibu wa kuanza kutumika pamoja na Ujenzi wa Mashine ya kusaga na kukoboa na utengenezaji wa barabara kupitia DASIP kijiji Nyabihokwe
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea risala
INAENDELEA